Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 24, 2024
Habari Mpya
Uzinduzi kitabu cha miaka 60 ya historia ya ofisi ya Makamu wa Rais
Jamhuri
Comments Off
on Uzinduzi kitabu cha miaka 60 ya historia ya ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitoa maelezo kuhusu kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais kabla ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 24, 2024.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa utambulisho mfupi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 24, 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akiwa na mawaziri mbalimbali hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 24, 2024.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 24, 2024.
Post Views:
340
Previous Post
Rais wa Mabunge Duniani Dk Tulia akutana na Balozi wa Norway nchini
Next Post
Mkuu wa Majeshi akutana ma Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa anayeshughulikia amani
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Habari mpya
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow