Viongozi mbalimbali Wajumbe wakiwasili tayari kwa Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitakachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 3 Aprili, 2024 Jijini Dar es salaam.
Wajumbe wawasili kwenye kikao maalumu cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Jamhuri
Comments Off on Wajumbe wawasili kwenye kikao maalumu cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa