Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 17, 2024
Habari Mpya
Rais Samia awaapisha Makatibu Wakuu na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ikulu Tunguu Zanzibar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia awaapisha Makatibu Wakuu na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ikulu Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu, Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Mwajuma Waziri kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Maji Jumaa Aweso, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu, Ally Senga Gugu, Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndugu Kaspar Kaspar Mmuya mara baada ya kuwaapisha Makatibu hao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Post Views:
429
Previous Post
Ujenzi wa bandari Kisiju kizungumkuti, wasuasua
Next Post
Dk Biteko ashiriki misa takatifu ya kumwombea hayati Magufuli Chato
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Tume zaundwa kuchunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 24 – 30, 2024
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Habari mpya
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Tume zaundwa kuchunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 24 – 30, 2024
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga