Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 3, 2024
Habari Mpya
Rais Samia ashiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC Ikulu Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ashiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC Ikulu Dodoma
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa M & P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel (kushoto) wakisaini Mkataba wa Mauziano ya Hisa katika Kitalu cha uzalishaji wa Gesi Asilia cha Mnazibay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Kampuni ya M&P Exploration Production Tanzania Limited kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa M &P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel (kushoto) wakionesha Hati ya Mkataba wa Mauziano ya Hisa katika Kitalu cha uzalishaji wa Gesi Asilia cha Mnazi bay baina ya (TPDC) na Kampuni ya M&P kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa Maurel &P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel (kushoto) wakisaini Mkataba wa uendeshaji wa pamoja wa Kitalu cha Mnazi bay kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Maurel &Prom (M&P) iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya akiwa kwenye hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Januari, 2024.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Mhe. George Huruma Mkuchika wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kushuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P)
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza kwenye hafla ya utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame akizungumza kwenye hafla ya utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Maurel & Prom (M&P), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Post Views:
219
Previous Post
Pinda alia na ucheleweshaji barabara ya Kibaoni - Sitalike Katavi
Next Post
Rais Samia aitaka Wizara ya Nishati kuhakikisha sekta ya gesi asilia inakidhi mahitaji
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Habari mpya
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi