Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 1, 2024
Habari Mpya
Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Wiki ya Sheria Chinangali Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Wiki ya Sheria Chinangali Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiimba Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Spika Mstaafu Mhe. Job Ndugai akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mustapher Siyani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Wageni mbalimbali pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Post Views:
226
Previous Post
SerikaliIl imetenga bil.899.4/- kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 137,294
Next Post
TMa yatabiri uwepo kwa mvua kubwa mikoa saba
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani