Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge akitoa taarifa ya utendaji wa kazi zilizofanywa na taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu ya Julai hadi Oktoba katika mwaka wa fedha wa 2023/24 wakati wa kikao cha tano cha Bodi hiyo kilichofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Wajumbe bodi ya JKCI wakutana jijini Dar
Jamhuri
Comments Off on Wajumbe bodi ya JKCI wakutana jijini Dar