Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 20, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi aapisha viongozi aliowateua
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi aapisha viongozi aliowateua
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja .[Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Kaskazini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Sadifa Juma Khamis kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini “A”Unguja .[Picha na Ikulu] 20/11/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Othman Ali Maulid kuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini “A” Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Galos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mwanajeshi Mstaafu . [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Ndg.Galos Cassian Nyimbo na Ndg. Othman Ali Maulid wakipitia hati za viapo kabla ya kuapishwa kuwa Wakuu wa Wilaya walizopangiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Mwanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Jaji wa Mahkama Kuu Mhe.Mohamed Ali Mohamed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali wakiwa katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni Iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Post Views:
210
Previous Post
Wakazi Tabora, Mara watakiwa kujitokeza kwenye majaribio ya uboreshaji taarifa za wapiga kura
Next Post
Milioni 344 zamaliza kero ya maji vijiji viwili Songe
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Habari mpya
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma
Balozi Nchimbi awasili kufunga kampeni za Serikali za Mitaa Dar es Salaam
Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia 29
ACT ni suluhisho la changamoto Kizenga – Abdul Nondo
‘Vijana mbuni miradi inayoendana na fursa’
Majaliwa ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa
ACT – Hatukubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani
RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024