Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 18, 2023
Habari Mpya
Rais Samia aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati akielezea kuhusu chanzo cha Maji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati akielezea kuhusu mradi wa Skimu ya umwagiliaji pamoja na uzalishaji wa Mbegu bora za mazao ya Kilimo katika Shamba la Mbegu Kilimi Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mfanyabiashara wa Nyanya katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara wadogowadogo wa Samaki wakati alipotembelea Soko la Wamachinga Parking ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara wadogowadogo wakati alipotembelea Soko la Wamachinga Parking ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mchele wakati alipotembelea Soko la Nzega ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Miundombinu ya Umwagiliaji katika Shamba la Mbegu lililopo Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe wakati wakitoka kukagua chanzo cha Maji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Taswira ya Chanzo cha maji katika Skimu ya umwagiliaji Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Post Views:
210
Previous Post
TANROADS Pwani yaanza matengenezo kinga kujihadhari na mvua za El nino -Mhandisi Baraka
Next Post
TMA yatoa angalizo la hali ya hewa mbaya kwa siku tano
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
Habari mpya
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Tume zaundwa kuchunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 24 – 30, 2024
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu