Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 17, 2023
Habari Mpya
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu Kikwete aongoza mahafali ya 53 ya duru la pili Mlimani City Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu Kikwete aongoza mahafali ya 53 ya duru la pili Mlimani City Dar es Salaam
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Profesa William A.L. Anangisye katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ew3gakitunuku Digrii za Awali, Stashahada na Ashtahada kwa wahitimu 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Bi Elizabeth B. Kway, mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences)
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Bw. Placidi Leonardi Lala mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music)
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wahitimu Elizabeth B. Kway na Placidi Leonardi Lala, wahitimu wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences) wakati Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music)
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi Nicholaus Luhanga aliyepata kuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho (1980-1988) walipokuwa katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 17, 2023.
Post Views:
241
Previous Post
Rais Samia azindua mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwa ajili ya mji wa Shelui mkoani Singida
Next Post
Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha VETA Igunga mkoani Tabora
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Habari mpya
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi