Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 10, 2023
Kimataifa
Mkutano wa 30 wa vyombo vya utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA)
Jamhuri
Comments Off
on Mkutano wa 30 wa vyombo vya utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi leo kuufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA).[Picha na Ikulu] 10/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto -SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma kwa Niaba ya Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita(katikati) wakifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa(kushoto)na Rais wa SABA Bw.Stanley Benjamin Similo kuelekea Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi,alipowasili kuufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA).[Picha na Ikulu] 10/10/2023.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea tunzo maalum kutoka kwa Rais wa SABA Bw.Stanley Benjamin Similo katika mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) mara baada ya kuufungua leo katika ukumbi waHoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.
Baadhi ya Washiriki wa mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) wakifuatilia kwa makini mada mbali mbali zilizotolewa katika mkutano huo wa siku tatu uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiufungua mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) utakaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)alipokuwa akimkabidhi cheti Meneja Masoko wa Benki ya PBZ Ndg.Seif Suleiman Mohamed katika mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) unaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/10/2023.
Post Views:
367
Previous Post
Muhimbili yapokea msaada wa viti mwendo 21 vya mil. 5.7/-
Next Post
Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuzindua mradi wa kitaifa wa Maadili na Uzalendo
Trump ashtaki gazeti kwa ‘kuingilia uchaguzi’
Mke, mume wafungwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya mtoto
Ubunifu waiongezea Serikali mapato Pori la Akiba Uwanda
Kurejea kwa Toto Afya Kadi mwanga mpya bima ya afya
13 mbaroni tuhuma za miundombinu ya TANESCO na SGR, wamo raia wa Kenya na China
Habari mpya
Trump ashtaki gazeti kwa ‘kuingilia uchaguzi’
Mke, mume wafungwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya mtoto
Ubunifu waiongezea Serikali mapato Pori la Akiba Uwanda
Kurejea kwa Toto Afya Kadi mwanga mpya bima ya afya
13 mbaroni tuhuma za miundombinu ya TANESCO na SGR, wamo raia wa Kenya na China
Mkuu wa Majeshi la Ulinzi atunukiwa tuzo
Watano wapandishwa kizimbani wakiwemo Wachina kwa tuhuma kuhujumu miundombinu ya reli SGR
Serikali yaipa kongole kampuni ya CRJE ikiahidi kuendelea kudumisha mahusiano mema na China
Kinglion kuzalisha tani 35,000 za malighafi za kutengeneza mabati kwa mwaka
Jafo: Maonesho ya Tano ya Viwanda kufanyika kitaifa 2025 Pwani
Wataalam wa ununuzi na ugavi chukieni rushwa, fanyeni kazi kwa uwazi – Dk Biteko
Baba harusi Vicent Massawe akutwa kwa mganga wa kienyeji baada ya kuuza gari alilokodi
Rais Mstaafu Dk Kikwete ahudhuria mkutano wa Taasisi ya ubia wa wadau wa maji Kusini mwa Afrika
Jaji akataa hoja ya Trump ya kutaka atupilie mbali kesi aliyopatikana na hatia
Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi