Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 9, 2023
Habari Mpya
Rais Samia azuru kaburi la mahtma Gandhi nchini India
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azuru kaburi la mahtma Gandhi nchini India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akirusha maua kwenye kaburi la Hayati Mahatma
Gandhi
lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizuru kaburi la Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
a Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika moja ya Ofisi zilizopo kwenye Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya mazungumzo katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Post Views:
275
Previous Post
Wafanyakazi JKCI waunga mkono juhudi za Rais Samia za kutangaza utalii
Next Post
Silaa ataka maeneo ya huduma kupimwa na kupatiwa hati
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia