Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 7, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi ahutubia Jukwa la Mifumo ya Chakula barani Afrika
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ahutubia Jukwa la Mifumo ya Chakula barani Afrika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023,uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha Kituo cha jingo la Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mawaziri wa SMZ na SMT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha jingo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Washiriki wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi katika jukwaa kuu wakifuatilia Mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarian Desalegn na Waziri wa Kilimo Tanzania Mhe.Hussein Mohammed Bashe, wakifuatilia mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Jukwaa la Mifuko ya Chakula Barani Afrika, uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha Kituo cha Jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023.(Picha na Ikulu)
Post Views:
250
Previous Post
Waziri Mkuu atoa agizo kwa Naibu Waziri Mkuu Biteko
Next Post
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), laweka mkazo uwekezaji maghala ya kisasa
Watoto wa kike 184 waokolewa na Polisi matukio ya ukatili
Gari la shule lagongana na gari la JWTZ Mtwara
CPA Makalla alaani mauaji, watu kujeruhiwa uchaguzi Serikali za Mitaa
CCM yataja sababu nne zilizofanya washinde kwa kishindo Serikali za Mitaa
Mamilioni ya dola kuhimili athari mabadiliko tabianchi
Habari mpya
Watoto wa kike 184 waokolewa na Polisi matukio ya ukatili
Gari la shule lagongana na gari la JWTZ Mtwara
CPA Makalla alaani mauaji, watu kujeruhiwa uchaguzi Serikali za Mitaa
CCM yataja sababu nne zilizofanya washinde kwa kishindo Serikali za Mitaa
Mamilioni ya dola kuhimili athari mabadiliko tabianchi
INEC yaonya wanaojiandikisha mara mbili daftari la wapiga kura
Mamlaka za usafirishaji majini barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma
Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta
Biden: Ukraine inahitaji kuendelea kusaidiwa kwa udharura
Tanzania yapanda Kenya yashuka katika orodha mpya ya FIFA duniani
CPA Makalla ataja sababu za CCM kushinda kwa kishindo
Rais aomboleza kifo cha Ndunguile wakati wa kikao kazi jijini Arusha
Mwanamitindo Mellen kuongoza Tamasha la Mitindo la Samia
Nyota ya Mbappe yafifia Real Madrid Wakiyumba Ligi ya Mabingwa
Usalama wa bahari una umuhimu mkubwa kwa uchumi wa dunia