Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 24, 2023
Habari Mpya
Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini
Jamhuri
Comments Off
on Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (kushoto) wakizindua mradi wa “kuimarisha mazungumzo ya vyama vingi vya Siasa na kukuza ushiriki wa Wanawake na Vijana katika michakato ya kisiasa na Chaguzi” hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakati wa Ufungaji wa Mkutano wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024na 2025.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kufunga
Ufungaji wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam .[Picha na Ikulu] 23/08/2023. .
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano
mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.
Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano
wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano
mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika
mkutano wa
siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
uliohudhuriwa na Viongozi na wadau mbali mbali.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na
Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,baada ya kuufunga
mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.
Post Views:
310
Previous Post
Chalinze yapokea gari la zimamoto
Next Post
TMA yatoa mwelekeo wa mvua za Vuli juu ya wastani hadi wastani
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Habari mpya
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison