Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 5, 2023
Biashara
Majaliwa afungua maonesho ya 47 ya kimataifa Sabasaba Dar
Jamhuri
Comments Off
on Majaliwa afungua maonesho ya 47 ya kimataifa Sabasaba Dar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea mabanda katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Manonesho vya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023 kabla ya kuyazindua rasmi maonesho hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kahawa, wakati alipo tembelea banda la Tanganyika Instant Coffee katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Rewina Peter. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia moja ya jiwe la madini, wakati alipo tembelea banda la Pring Mineral Limited katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Erasto Kafyulilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa ramani ya Mkongo wa Taifa na Mkurugenzi Mkuu TTCL katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Mwana Jiolojia, Erasto Kafyulilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Imalilo Nutrition Educators katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Mke wa aliyekua Rais wa awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia asali inayozalishwa na Kampuni ya Pinda Honey, katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, Kurasini jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza, katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views:
478
Previous Post
Kunenge: Rais Samia anafanyakazi kubwa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini
Next Post
Mpango ashiriki hafla ya makabidhiano ya madarasa Buhigwe
Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027
Watumishi wafurahishwa na uzinduzi Baraza la Wafanyakazi Malinyi
DC Same aagiza kukamatwa kwa waliowapa mimba wanafunzi wanne
RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
CBE kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake
Habari mpya
Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027
Watumishi wafurahishwa na uzinduzi Baraza la Wafanyakazi Malinyi
DC Same aagiza kukamatwa kwa waliowapa mimba wanafunzi wanne
RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
CBE kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake
Kwaya ya watoto Westminster yatoa msaada Muhimbili
Askari walioonekana wakichukua rushwa barabarani wakamatwa Dar
Korea Kaskazini yafyatua makombora ya majaribio
Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
Jeshi la Ukraine lafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi
Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini