Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 2, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi awasili Zanzibar akitokea China
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi awasili Zanzibar akitokea China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 2-7-2023, akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi wengine, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa VIP baada ya kuwasili
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, alipowasili Zanzibar akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rai,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi wengine wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini humo .(Picha na Ikulu)
Post Views:
301
Previous Post
Tuzo za ZIFF 2023 kutolewa leo
Next Post
Msonde: Serikali haitomsamehe atakayekwamisha ujenzi wa shule
Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Habari mpya
Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya