Mbunge wa Jimbo la Mbarali Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo Julai 1,2023 kwa ajali ya kugongwa na Trekta (Power Tiller) shambani kwake Mbarali mkoani Mbeya
.