Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 15, 2023
Habari Mpya
Dkt.Chemba awasilisha taarifa hali ya uchumi na mpango wa maendeleo wa Taifa 2023/2024
Jamhuri
Comments Off
on Dkt.Chemba awasilisha taarifa hali ya uchumi na mpango wa maendeleo wa Taifa 2023/2024
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dod
odoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (katikati) akifurahia jambo katika viwanja vya Bunge na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Kamishna wa Idara ya Sera ya Wizara hiyo, Bw. Elijah Mwandumbya, baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, baada ya Waziri huyo kuwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Jenifa Omolo, pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo.
Post Views:
253
Previous Post
Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi
Next Post
Matkio katika picha Waziri Mkuu bungeni
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Habari mpya
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison