Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 13, 2023
Habari Mpya
Samia atembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora
Jamhuri
Comments Off
on Samia atembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Machifu mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akiwasalimia viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa kwa ajili ya kushiriki Tamasha la Bulabo, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimsikiliza Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Nkwande kuhusu Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimsikiliza Ndugu Richard Raphael Bulluma Mhifadhi wa Makumbusho ya Wasukuma Bujora kuhusu majengo mbalimbali yaliyopo kwenye Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023. Kushoto ni Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Nkwande
Post Views:
699
Previous Post
Senyamule aagiza Chemba kujipanga upya
Next Post
Muuguzi adaiwa kubaka mjamzito hospitalini Tabora, uchunguzi umekamilika
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani