Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 14, 2023
Kitaifa
Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Bernard Membe Karimjee jijini Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Bernard Membe Karimjee jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Bernard Kamilius Membe katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2023
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Bernard Kamilius Membe mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 202
3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa pole kwa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Bernard Kamilius Membe mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2023
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Viongozi mbalimbali pamoja na Waombolezaji wakiwa kwenye viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kabla ya kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Bernard Kamilius Membe tarehe 14 Mei, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji kabla ya kuwaongoza kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Bernard Kamilius Membe katika viwanja vya Karimjee tarehe 14 Mei, 2023
Post Views:
249
Previous Post
Tanzania,Burundi na UNHCR zasaini makubaliano ya kuwarejesha wakimbizi kwa hiari Burundi
Next Post
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar atembelea mali za chama
Serikali kupitia Wizara ya Fedha yajivunia mchango unaotolewa na ITA
ACT waahidi kufanikisha huduma ya maji Warumba
CCM yasaka ushindi wa kishindo Mbogwe
Tanzania, Uganda kuendelea kuimarisha ushirikiano
Zaidi ya bilioni 10 skimu ya umwagiliaji Masimba kunufaisha wakulima 24,000 Singida
Habari mpya
Serikali kupitia Wizara ya Fedha yajivunia mchango unaotolewa na ITA
ACT waahidi kufanikisha huduma ya maji Warumba
CCM yasaka ushindi wa kishindo Mbogwe
Tanzania, Uganda kuendelea kuimarisha ushirikiano
Zaidi ya bilioni 10 skimu ya umwagiliaji Masimba kunufaisha wakulima 24,000 Singida
Jussa :ACT yajipanga kulinda kura na kuleta maendeleo Tanga
Wananchi Babati wamshukuru Rais Dk Samia kuwafungulia barabara
Mil. 455/- kusambaza mitungi ya gesi 22,000 Tabora
Biden: Hatua ya ICC dhidi ya maafisa wa Israel ni ‘ya kuchukiza’
ACT- Wazalendo : SMZ bado wana hoja za kujibu ujenzi wa viwanja vya Amani na Gombani
ACT – Wazalendo yawahimiza wananchi kuchagua viongozi wanaowajibika
Mahundi : Tutazifanyia kazi changamoto za ukosefu wa mawasiliano ya uhakika Pemba
CUF yawasihi wanachama wake kukipa kura ya ndio ili kitekeleza mimakati ya haki sawa
Malala : Wagombea CCM wameandaliwa kilamilifu
Majaliwa : Tutaendelea kushirikiana na wadau katika kuimarisha sekta ya afya nchini