Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 5, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi ajumuika na wananchi katika ibada ya sala ya Ijumaa
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ajumuika na wananchi katika ibada ya sala ya Ijumaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Fuoni Uwandani, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Tauhid Fuoni Uwandani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-5-2023.
Wananachi wa Fuoni Uwandani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Tauhid Fuoni Uwandani leo 5-5-2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisamiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa , iliyofanyika katika Masjid Tauhid Fuoni Uwandani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-5-2023.(Picha na Iku
lu.
Post Views:
167
Previous Post
'Hakuna haki bila uwajibikaji katika utumishi wa umma'
Next Post
Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka
Ado Shaibu akiwanadi wagombea wa ACT wazalendo jimbo la Tunduru kaskazini
Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine – Dk Biteko
Twende na kasi ya dunia ubunifu na ujasiriamali : Balozi Nchimbi
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
Waziri Ulega abariki pazia la shindano la Ladies First
Habari mpya
Ado Shaibu akiwanadi wagombea wa ACT wazalendo jimbo la Tunduru kaskazini
Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine – Dk Biteko
Twende na kasi ya dunia ubunifu na ujasiriamali : Balozi Nchimbi
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
Waziri Ulega abariki pazia la shindano la Ladies First
Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
Wanawake jamii za asili wakutana Arusha kujadili changamoto zao
TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga
Zitto awanadi wagombea wa chama chake Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma
Simba yazidi kujikita kileleni
Polisi yamsaka mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo
Tanzania, China zasisitiza kukuza ushirikiano