Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 23, 2023
Habari Mpya
Mke wa Rais Zanzibar atembelea vituo vya watoto yatima
Jamhuri
Comments Off
on Mke wa Rais Zanzibar atembelea vituo vya watoto yatima
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwasalimia baadhi ya Watoto katika Kituo cha Watoto Kwarara Wilaya ya Magharibi “B” alipofika kuwapatia zawadi mbalimbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana(katikati) Waziri wa Wizara ya Ustawi wa jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma .
Baadhi ya Watoto wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika kuwatembelea jana pamoja na kuwapatia zawadi mbalimbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri iliyoanza jana kitaifa
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake alipozungumza na Walezi na Watoto katika Kijiji cha SOS Mombasa,Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi jana alipofika kuwatembelea pamoja na kuwapatia zawadi mbalimbali (wa pili kulia) Waziri wa Wizara ya Ustawi wa jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto, Riziki Pembe Juma katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),Mama Mariam Mwinyi (katikati) akigawa zawadi kwa Watoto katika Kijiji cha SOS Mombasa,Wilaya ya magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana alipofanya ziara maalum ya kutembelea Vituo vya Watoto.
Mtoto wa Rais wa Zanzibar Bi.Jamila Huseein Mwinyi akigawa zawadi kwa watoto wakati alipoungana na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi (hypo pichani) katika ziara yake ya kutembelea vituo vya watoto jana katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri.
Baadhi ya Watoto katika kituo cha Watoto Mazizini wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (hayupo piochani) alipofika kuwatembelea jana pamoja na kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri iliyoanza jana kitaifa.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akizungumza na walezi na watoto katika Kituo cha Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” alipofika kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana (kulia) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe.Anna Athans Paul na Waziri wake Mhe.Riziki Pembe Juma (kushoto) Mkurugenzi Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Ndg.Hassan Ibrahim Suleiman na Mkuu wa Wilaya Magharibi “B” Mhe.Bi.hamida Mussa Khamis.[Picha na Ikulu]
Post Views:
290
Previous Post
Dkt. Mpango atoa wito kwa viongozi wa dini
Next Post
Saudi Arabia yaondoa raia wake Sudan
Kuongezeka kwa viwango vya maji katika Ziwa Victoria kunatishia kisiwa cha Ukerewe
Dk.Mpango aipongeza CTI tuzo za PMAYA
REA kujenga mifumo nishati safi sekondari Ruhinda
TAKUKURU Kinondoni kupokea malalamiko 104
Mgogoro wa Kisiasa Ujerumani; Scholz amfukuza Kazi Waziri wa Fedha na kuvunja muungano
Habari mpya
Kuongezeka kwa viwango vya maji katika Ziwa Victoria kunatishia kisiwa cha Ukerewe
Dk.Mpango aipongeza CTI tuzo za PMAYA
REA kujenga mifumo nishati safi sekondari Ruhinda
TAKUKURU Kinondoni kupokea malalamiko 104
Mgogoro wa Kisiasa Ujerumani; Scholz amfukuza Kazi Waziri wa Fedha na kuvunja muungano
Maonesho ya bidhaa za vifungashio yazinduliwa Dar
Kapinga asema mafanikio sekta nishati yanatoka na jitihada za Rais Samia
Putin Amwaga sifa kwa Trump
Kamanda DCP Ng’azi: Elimu ya usalama barabarani ni muhimu kwa watoto
TEF : Tunasikitishwa na Waziri wa Habari Jerry Silaa
Wataalam NIRC waaswa kuzingatia sheria ya manunuzi
Jukwaa la Wahariri lakerwa na mwenendo wa Waziri Silaa
Wadau wapongeza sera ya kuwawezesha wazawa kiuchumi
Rais Samia apeleka neema Tabora
Israel yaendeleza mashambulizi katika mji wa Beirut