Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 11, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi akutana na Tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi akutana na Tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai,ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman (wa tano kulia).[Picha na Ikulu] 11/04/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisis za Haki Jinai Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman,baada ya mazungumzo na Tume hiyo ilipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 11/04/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai ilipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo Kujitambulisha,ujumbe wa tume hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Mohamed Chande Othman (wa pili kulia).[Picha na Ikulu] 11/04/2023
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza na Tume hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 11/04/2023.
Post Views:
163
Previous Post
Mkataba wa mchongo waitia hasara ATCL, LUKU zafuka moshi, mikoa 29 mita hazisomi mwaka mzima
Next Post
Majeruhi ajali ya fuso iliyotumbukia mtoni waruhusiwa Ruvuma
Wawili wahukumiwa kifungo cha maisha jela, wanne miaka 30
Kaya 16, 275 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Mtwara
Madereva 30 wafungiwa leseni kwa kukutwa na kiwango kikubwa cha ulevi
Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo
Waziri Israel atishia kuzidisha mashambulizi Ukanda wa Gaza
Habari mpya
Wawili wahukumiwa kifungo cha maisha jela, wanne miaka 30
Kaya 16, 275 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Mtwara
Madereva 30 wafungiwa leseni kwa kukutwa na kiwango kikubwa cha ulevi
Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo
Waziri Israel atishia kuzidisha mashambulizi Ukanda wa Gaza
MGORORO WA FAMILIA…Kaburi la Jenerali lafukuliwa
Rais Samia ameweza, sasa tunaingia mwaka wa fitina
Nani kuwa mrithi wa Kinana CCM
Bondia Mandonga atoa shukrani za dhati kwa Rais Samia kuuona mchezo wa ngumi
Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao yaweka tabasamu mwaka mpya 2025 kwa wenye ulemavu
Ruto akiri ukiukaji wa polisi katika maandamano
Makamu wa Rais ashiriki Ibada ya Mwaka Mpya 2025 Dodoma
EWURA yaukaribisha mwaka mpya kwa kupunguzo ya bei ya mafuta
Polisi Songwe yaimarisha ulinzi sikukuu ya mwaka mpya
Rais Samia : Mwaka 2024 ulikuwa na mafanikio