Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 23, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi afungua mkutano wa kimataifa wa sekta ya utalii
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi afungua mkutano wa kimataifa wa sekta ya utalii
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakati akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua maonesho hayo leo 23-2-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia fulana wakati akitembelea banda la maonesho la Zanzibar Padel, baada ya kuyafungua Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharini”B” Unguja leo 23-2-2023, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Mhe. Rahim Bhaloo, wakati akitembelea maonesho hayo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mohamed Omary Mchengerwa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuyafungua maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw. Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.
Post Views:
223
Previous Post
Makamu wa Rais afungua Jukwaa la uwekezaji na biashara baina ya Tanzania Ulaya
Next Post
Gazeti la Jamhuri Februari 21-27,2023
Mamia wajitokeza huduma za uchunguzi wa macho Hospitali ya Mbagala
Kumkamata Netanyau haitoshi lazima apate adhabu ya kifo – Iran
Kesi ya Donald Trump yatupiliwa mbali na jaji wa mahakama
Soma Gazeti la Jamhuri Novemba 26 hadi Desemba 2, 2024
Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii
Habari mpya
Mamia wajitokeza huduma za uchunguzi wa macho Hospitali ya Mbagala
Kumkamata Netanyau haitoshi lazima apate adhabu ya kifo – Iran
Kesi ya Donald Trump yatupiliwa mbali na jaji wa mahakama
Soma Gazeti la Jamhuri Novemba 26 hadi Desemba 2, 2024
Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii
Polisi yawasaka waliomshambulia mtoto na kumjeruhi Monduli
Waandishi wa habari Manyara, UTPC waandamana uzinduzi Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili
Vyama vya siasa, wananchi wahimizwa amani uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
JWT: Wafanyabiashara bado tuna changamoto nyingi
Kilo 2207 za dawa za kulevya zanaswa
RC Ruvuma : Hali ya maambukizi ugonjwa wa UKIMWI yapungua, ashauri kuendelea kujikinga
Mkakati: CCM ikihitimisha kampeni kwa kishindo
TPA bingwa mashindano ya SHIMMUTA 2024
Yanga VS Al Hilal ni kesho
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani