Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 4, 2023
Kitaifa
Rais Mwinyi azungumza na uongozi wa kitaifa wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi azungumza na uongozi wa kitaifa wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood , baada ya kumalizika kwa maungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-2-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Amir Mbashiri Mkuu wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood, alipofika Ikulu na Uongozi wake wa Kitaifa kwa ajili ya mazungumzo na kuitambulisha Jumuiya yao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Amir wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, akiwasilisha maelezo ya kazi zinazofanywa na Jumuiya hiyo, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-2-2023 na (kulia kwa Rais) Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Msahafu na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood, uliotafsiriwa kwa Kiswahili na Jumuiya hiyo, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Post Views:
328
Previous Post
Breaking News: Watu 17 wafariki, 14 ni wa familia moja
Next Post
Dkt.Mpango aitwisha mzigo UWT Pwani
Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Habari mpya
Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba