Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 3, 2023
Kitaifa
Rais Samia ateta na ujumbe maalumu kutoka Kenya
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ateta na ujumbe maalumu kutoka Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipitia Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya kuwasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae ni Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, ambae pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya William Samoel Ruto, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Moses Kuria, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, ambae pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya kumkabidhi Ujumbe kutoka kwa Rais Ruto Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Post Views:
215
Previous Post
Polisi Pwani wamdaka aliyeua na kutoroka akutwa na shortgun
Next Post
Majaliwa:Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya VVU
TAKUKURU Kinondoni wafanya uchambuzi wa mifumo na kubaini upotevu na ufujaji wa fedha za umma
Mhagama : Serikali imefanya mageuzi makubwa sekta ya Afya, aipa tano MSD
Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi
CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara
Trump apiga marufuku wanamichezo wa kike waliobadili jinsia kushindana mashindano ya wanawake
Habari mpya
TAKUKURU Kinondoni wafanya uchambuzi wa mifumo na kubaini upotevu na ufujaji wa fedha za umma
Mhagama : Serikali imefanya mageuzi makubwa sekta ya Afya, aipa tano MSD
Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi
CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara
Trump apiga marufuku wanamichezo wa kike waliobadili jinsia kushindana mashindano ya wanawake
Amuua mpenzi wake, naye ajiua kwa kujinyonga
Prince Rahim Al-Hussaini ateuliwa kuwa Aga Khan mpya
NCT yaendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa astashahada
LHRC yashinda kesi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TMA,EMEDO waongeza nguvu usambazaji taarifa za hali ya hewa ziwa Victoria
Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, akisisitiza maendeleo na uongozi bora
Samia, Mwinyi watuma salamu za rambirambi kifo cha Aga Khan IV
DRC: Tangazo la M23 la usitishaji vita sio la kuaminika
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga