Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 1, 2023
Kitaifa
Rais Mwinyi akutana na kuzungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania Ikulu Z’bar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi akutana na kuzungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania Ikulu Z’bar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023. mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika uk
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Andrey Avetisyan wakati akikabidhiwa zawadi maalum ya Kasiki, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-2-2023,alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Andrey Avetisyan, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania. Andrey Avetisyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Andrey Avetisyan, baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-2-2023.(Picha na Ikulu)
Post Views:
293
Previous Post
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Next Post
Jaji Mkuu:Usuluhishi unachochea uchumi, amani
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia