Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Marekani  na Ubelgiji  wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” ukiongozwa na Prof. Dr.Bruno J.Van Herendael, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-1-2023.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani na Ubelgiji wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” Prof. Bruno.J Van.Herendael, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-1-2023.(Picha na Ikulu)