Picha mbalimbali zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Januari 21, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lumumba, Dar es Salaam. (Picha zote na Fahadi Siraji wa CCM)
Shaka akabidhi ofisi rasmi kwa Mjema
Jamhuri
Comments Off on Shaka akabidhi ofisi rasmi kwa Mjema