Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 13, 2023
Habari Mpya
Rais Mwinyi ahudhuria taarabu maalumu ya miaka 59 ya Mapinduzi
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi ahudhuria taarabu maalumu ya miaka 59 ya Mapinduzi
Msanii wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar Sabina Hassan akitowa burudani wakati akiimba wimbo wa “Kama Yalivyonipata” wakati wa Taarab Maalum ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa hafla ya Taarab Maalumu ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakihudhuria Taarab Maalum ya Kikundi cha Taifa kwa ajili ya kuadhimisha sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika jana usiku.12-1-2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikitowa burudani katika hafla hiyo Msanii Hafidh Abdulsalam akiimba wimbo wa “Walisema Hatuwezi” ikiwa ni Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbvi wa hoteli hiyo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimtunza Msanii B.Sabah Salum Muchacho wakati akitowa buduradi ya wimbo wa “Mnaminami Viumbe” wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
Post Views:
161
Previous Post
Ushirikishwaji wa Watanzania waleta mabadiliko makubwa sekta ya madini
Next Post
Bodi ya Pamba yawapa kicheko wakulima Simiyu
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Habari mpya
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma
Balozi Nchimbi awasili kufunga kampeni za Serikali za Mitaa Dar es Salaam
Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia 29
ACT ni suluhisho la changamoto Kizenga – Abdul Nondo
‘Vijana mbuni miradi inayoendana na fursa’
Majaliwa ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa
ACT – Hatukubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani
RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024