Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 29, 2022
Kitaifa
Mwinyi ahutubia maadhimisho Siku ya Kilele cha mwezi wa shukrani kwa walipakodi 2021/22 Z’bar
Jamhuri
Comments Off
on Mwinyi ahutubia maadhimisho Siku ya Kilele cha mwezi wa shukrani kwa walipakodi 2021/22 Z’bar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya Mlipa Kodi Mkubwa wa Bodi ya Mapato Zanzibar. Bwa.Actaf Jiwan wa Kampuni ya Zanzibar Petroleum, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Saada Mkuya Salum na Kamishna wa ZRB Yussuf J.Mwenda,hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kilele cha mwezi wa shukrani na furaha kwa walipakodi kwa mwaka 2021/2022,iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo Desemba 29,2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-12-2022
Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo Desemba 29,2022.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiangalia ngoma ya Kibati walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Post Views:
180
Previous Post
Kairuki awataka machifu kuhimiza jamii kulinda miradi ya maendeleo
Next Post
Waziri Ummy afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Mwananyamala
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani