Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 21, 2022
Habari Mpya
Waziri Masauni ateta na wakuu wa vyombo vya usalama
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Masauni ateta na wakuu wa vyombo vya usalama
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (kushoto) akimpa maelekezo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (katikati meza kuu) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya, alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022. Kulia ni kuu Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi, na kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura.
Post Views:
289
Previous Post
Serikali hyaimarisha huduma za matibabu ya moyo
Next Post
HaloPesa yazindua “Shinda Tena na Halopesa'
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Habari mpya
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
TRA yawashukuru walipakodi, wadau kwa mwaka 2023/24
Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati
‘Uchumi wa Tanzania, Zanzibar kuendelea kuwa wa kuridhisha’
Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka
Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba