Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 12, 2022
Habari Mpya
Majaliwa aanza ziara Katavi
Jamhuri
Comments Off
on Majaliwa aanza ziara Katavi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Katavi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani humo, Disemba 12, 2022. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika, Onesmo Mpuya Buswelu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na wabunge wa Mkoa wa Katavi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Mpuya Buswelu (kulia kwake) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Katavi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya Wabende iliyokuwa ikichezwa na kikundi cha Tibo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Katavi
Post Views:
177
Previous Post
Watetezi wa mazingira MECIRA kujadili umuhimu wa utunzaji vyanzo vya maji
Next Post
Ubora wa bidhaa za wajasiriamali watia fora maonesho ya Juakali
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
Habari mpya
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano