Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 29, 2022
Habari Mpya
Majaliwa akagua mradi wa maji Kisarawe
Jamhuri
Comments Off
on Majaliwa akagua mradi wa maji Kisarawe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja kuhusu Mradi wa Maji wa Kisarawe mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la Maji wakati alipotembelea Mradi wa Maji wa Kisarawe Mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022 . Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na wa tatu kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteremka kutoka katika tangi la Maji wakati aliptembelea Mradi wa Maji wa Kisarawe Mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua Mradi wa Maji Kisarawe mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo wakati alipokagua Mradi wa Maji Kisarawe Mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022. (PIcha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Post Views:
195
Previous Post
Gazeti la Jamhuri Novemba 29-Desemba 5
Next Post
Ajali yaua watatu Singida
Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
Habari mpya
Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
Jeshi la Ukraine lafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi
Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini
Dk Kazungu ateta na balozi wa Tanzania Abu Dhabi
Tanzania iko tayari kwa mashindano ya CHAN na AFCON
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Sheria
Jaji Mkuu: Toeni taarifa endapo hamjaridhishwa na huduma za mahakama
Wakili Mahinyila achaguliwa mwenyekiti BAVICHA
Rais Samia amlilia DC Mbozi Ester Mahawe
Maliasili, Mambo ya Ndani zatakiwa kushirikiana kukuza utalii
Naibu Waziri Maryprisca Mahundi amuonya diwani kutopotosha umma