Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 16, 2022
Kitaifa
Rais Samia azindua miradi sita ya umeme
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azindua miradi sita ya umeme
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua miundombinu mbalimbali ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwenda Mkoani Kigoma na Geita kwenye hafla ya uzinduzi iliyofanyika Nyakanazi mkoani Kagera 16 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakivuta kitambaa kuzindua miradi sita ya umeme, ikiwemo Njia ya kusafirisha umeme wa msongo Kv 220 kutoka Nyakanazi -Geita, Nyakanazi Rusumo, Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Nyakanazi pamoja na njia kubwa za kusafirisha umeme kwenda Mkoa wa Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022 Mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua miradi sita ya umeme katika Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwenda Mkoani Kigoma na Geita kwenye hafla iliyofanyika Nyakanazi mkoani Kagera 16 Oktoba, 2022
Post Views:
271
Previous Post
Mwonekano daraja la JPM Mwanza
Next Post
Mwenge wafanikisha marejesho ya bil.2.2/- Kagera
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
Habari mpya
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa
Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon