Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 12, 2022
Kitaifa
Spika Tulia afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Korea Kusini
Jamhuri
Comments Off
on Spika Tulia afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Korea Kusini
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Spika wa Bunge la Korea Kusini, Jin Pyo Kim tukio lililofanyika katika ofisi ndogo za Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali (KCC) Nchini Rwanda leo tarehe 12 Oktoba, 2022 wakati wa Mkutano wa 145 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea nchini humo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Spika wa Bunge la Korea Kusini, Jin Pyo Kim katika ofisi ndogo za Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali (KCC) Nchini Rwanda leo tarehe 12 Oktoba, 2022 wakati wa Mkutano wa 145 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea nchini humo.
Mhe. Spika ameambatana na Wabunge wa Bunge la Tanzania ambao ni Wawakilishi katika Umoja huo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Spika wa Bunge la Korea Kusini, Mhe. Jin Pyo Kim baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi ndogo za Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali (KCC) Nchini Rwanda leo tarehe 12 Oktoba, 2022 wakati wa Mkutano wa 145 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea nchini humo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Jamhuri ya Indonesia, Dkt. Puan Maharani walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali (KCC) nchini Rwanda leo tarehe 12 Oktoba, 2022 wakati wa Mkutano wa 145 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea nchini humo.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post Views:
289
Previous Post
Rais kupokea na kuzindua chuo cha VETA Kagera
Next Post
Prof Makubi:Bima ya afya inatoa fursa ya kutibiwa hospitali yoyote unayoitaka
India kuwekeza katika sekta ya nishati nchini
Kesi ya DRC dhidi ya Rwanda kusikilizwa Mahakama ya Haki za Binadamu Arusha
NFRA yajiandaa kukabiliana na upungufu wa sukari nchini
Polisi Pwani yamsaka Abdallah kwa tuhuma ya kumuua mzazi mwenzake
Rig za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina
Habari mpya
India kuwekeza katika sekta ya nishati nchini
Kesi ya DRC dhidi ya Rwanda kusikilizwa Mahakama ya Haki za Binadamu Arusha
NFRA yajiandaa kukabiliana na upungufu wa sukari nchini
Polisi Pwani yamsaka Abdallah kwa tuhuma ya kumuua mzazi mwenzake
Rig za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina
Rwanda hajaambiwa ukweli wote DRC
Tume yatoa neno kwa waendesha vifaa vya BVR Tanga, Pwani
Wahandisi nchini watakiwa kufanyakazi kwa kuzingatia maadili
Tanzania kinara duniani matumizi ya TEHAMA serikalini
‘Zanzibar imenufaika na ufadhili wa mashirika ya kimataifa katika miradi ya umwagiliaji’
Mapambano dhidi ya biashara haramu ya maliasili yazidi kuimarishwa
Sangu: Baadhi ya mamlaka za nidhamu hazizingatii sheria
Serikali yaagiza vifaa vya kujifungulia vipatikane vituo vya afya
Sillo : Msipande bodaboda mishikaki
Afrika Kusini yapeleka wanajeshi 800 Lubumbashi