Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 17, 2022
Habari Mpya
Rais Mwinyi azindua ripoti ya mahitaji ya Mahakama Zanzibar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi azindua ripoti ya mahitaji ya Mahakama Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar na Uzinduzi wa Ofisi ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria Uzinduzi wa Ofisi ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo 17-9-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, leo 17-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Shaban na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Mratibu wa Kitaifa Wakili Onesmo Olengurumwa.
Washiriki wa Uzinduzi wa Ripoti ya Mahitaji ya Mfumo wa Mahakama Zanzibar na Uzinduzi wa Ofisi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-9-2022.(Picha na Ikulu)
Post Views:
122
Previous Post
Hawa hapa wachezaji waliowahi kucheza Real Madrid na Atletico
Next Post
Mtandao wa wabunge wa kupambana na rushwa Afrika kushirikiana na TAKUKURU
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
Habari mpya
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma
Balozi Nchimbi awasili kufunga kampeni za Serikali za Mitaa Dar es Salaam
Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia 29
ACT ni suluhisho la changamoto Kizenga – Abdul Nondo
‘Vijana mbuni miradi inayoendana na fursa’
Majaliwa ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa
ACT – Hatukubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani
RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024
Msafara wa kiongozi ACT Wazalendo Dorothy akiwasili Lindi kufunga kampeni