Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 24, 2022
Habari Mpya
Waziri Masauni ampokea Kamishna Mkuu UNHCR
Jamhuri
Comments Off
on Waziri Masauni ampokea Kamishna Mkuu UNHCR
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimpokea Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Agosti 24, 2022.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Mahoua Parums, baada ya kumpokea Kamishna Mkuu wa Shirika hilo, Filippo Grandi (katikati), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Agosti 24, 2022
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Mahoua Parums, wakati walipokuwa wanamsubiri kumpokea Kamishna Mkuu wa Shirika hilo, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Agosti 24, 2022
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Agosti 24, 2022.
Post Views:
184
Previous Post
Watoto 53 wazaliwa siku ya Sensa Zanzibar
Next Post
Moi yasogeza huduma za kibingwa Mtwara
Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Habari mpya
Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar
Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19
Taasisi zilizosajiliwa RITA zatakiwa kuwasilisha marejesho ya mwaka
Bil 4.6/- kujenga daraja Tanganyeti
Trump bado anakabiliwa na hukumu ya kumlipa kahaba