Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 10, 2022
Habari Mpya
Mwinyi ashuhudia makabidhiano ya ‘data’ utafutaji mafuta na gesi asilia Zanzibar
Jamhuri
Comments Off
on Mwinyi ashuhudia makabidhiano ya ‘data’ utafutaji mafuta na gesi asilia Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa na Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Januari Yussuf Makamba .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakibadilishana hati za utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Suleiman Masoud Makame (kulia) akipokea data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakati wa Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.
Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza katika hafla ya utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa na akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
.
Post Views:
319
Previous Post
Rais Samia: Afrika inahitaji kuongeza juhudi kuendeleza mpira wa miguu
Next Post
Rais Samia Suluhu ahutubia mamia ya wananchi Njombe
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Habari mpya
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar
Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19
Taasisi zilizosajiliwa RITA zatakiwa kuwasilisha marejesho ya mwaka
Bil 4.6/- kujenga daraja Tanganyeti
Trump bado anakabiliwa na hukumu ya kumlipa kahaba
Waziri Mkuu amjulia hali Naibu Waziri wa Ardhi Godfrey Pinda
Waziri Mhagama agawa mashine 185 za uchuguzi wa kifua kikuu nchi nzima