Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua mradi uboreshaji vibanda vya biashara wa Chama Old Moshi ikiwa sehemu ya ziara yake ya Chama pamoja na kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020 – 2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifurahia jambo kutoka kwa Mwenyekiti Bi. Fatma Mgonja wa Shina namba 2, tawi la Msasani kata ya Kaloleni, Wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro