Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 1, 2022
MCHANGANYIKO
Dkt.Mpango afungua maonesho ya Nane Nane Mbeya
Jamhuri
Comments Off
on Dkt.Mpango afungua maonesho ya Nane Nane Mbeya
Mak
amu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt. Geofrey Mkamilo juu kutumia tafiti kuinua mazao mbalimbali nchini ikiwemo zao la parachichi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma wakati akitembelea Banda la Wizara ya Kilimo katika Maonesho ya Nanenane 2022 yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya leo tarehe 1 Agosti 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea Mabanda mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa maonesho ya Nanenane 2022 yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya leo tarehe 1 Agosti 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza Mkurugenzi wa Ranchi ya Mbogo Pirmohamed Mulla wakati alipotembelea banda la Ranchi hiyo katika maonesho ya Nanenane 2022 yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya leo tarehe 1 Agosti 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kufungua maonesho ya Nanenane 2022 leo tarehe 1 Agosti 2022.
Post Views:
363
Previous Post
Chana awataka magwiji wa malikale duniani wafanye tafiti Tanzania
Next Post
Mwonekano wa gazeti la Jamhuri leo
Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine
Ukraine: Trump anaweza kumaliza vita na Urusi
Polisi Songwe yakemea kuuza na kunywa pombe za kienyeji muda wa kazi
Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo
Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza
Habari mpya
Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine
Ukraine: Trump anaweza kumaliza vita na Urusi
Polisi Songwe yakemea kuuza na kunywa pombe za kienyeji muda wa kazi
Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo
Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza
Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Kwa heri 2024; Kiswahili kimezidi kutandawaa – 2
LATRA yakamata magari 20 kwa kutoza abiria nauli kubwa Tabora
Wawili wahukumiwa kifungo cha maisha jela, wanne miaka 30
Kaya 16, 275 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Mtwara
Madereva 30 wafungiwa leseni kwa kukutwa na kiwango kikubwa cha ulevi
Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo
Waziri Israel atishia kuzidisha mashambulizi Ukanda wa Gaza
MGORORO WA FAMILIA…Kaburi la Jenerali lafukuliwa
Rais Samia ameweza, sasa tunaingia mwaka wa fitina