Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 1, 2022
MCHANGANYIKO
Rais Samia apokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Comoro
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia apokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Comoro
R
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie mara baada ya kuwasili i Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe, 01 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambae ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie mara baada ya kuwasilisha Ujumbe kutoka kwa Rais Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Post Views:
194
Previous Post
Rais Mwinyi akutana na viongozi wa bima
Next Post
Chana awataka magwiji wa malikale duniani wafanye tafiti Tanzania
Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu
Rais Samia aipongeza timu ya Simba
Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika
Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika
Habari mpya
Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu
Rais Samia aipongeza timu ya Simba
Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika
Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika
Rais Samia na Mwenyekiti wa SADC – Organ ashiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi
Ulega atoa saa 72 kurejesha mawasiliano daraja Gonja Mpirani
Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine
Mtoto ajinyonga kwa kukosa nguo za sikukuu
Rais Mstaafu Kikwete apongeza maendeleo Zanzibar
Viongozi wa dini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati waishukuru JWTZ
Waziri Ulega kuwapima mameneja kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura
Baraza la Mitihani la Tanzania lafuta matokeo kwa wanafunzi 105 wa darasa la nne, 46 Kidato cha Pili
Haya hapa matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne
DC Kyobya : Hairuhusiwi kulima, kuchunga ndani ya Pori la Akiba la Kilombero