Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni mia mbili, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, ambayo ni mchango uliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya upimaji na matibabu ya saratani ya shingo ya uzazi kwa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, kwenye mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika jijini Dodoma. Julai 31, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriiki katika mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika jijini Dodoma. Julai 31, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhi hundi ya shilingi milioni mia mbili, kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaiselage, ambayo ni mchango uliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya upimaji na matibabu ya saratani ya shingo ya uzazi kwa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, kwenye mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika jijini Dodoma. Julai 31, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu