Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 27, 2022
Kitaifa
Rais Mwinyi aweka jiwe la msingi kituo cha wajasiriamali Tumbe
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi aweka jiwe la msingi kituo cha wajasiriamali Tumbe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea ujenzi wa Kituo cha Wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo hicho na (kulia kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Masoud Ali Mohammed.(Picha zote na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kikosi cha KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri akitowa maelezo ya Kituo cha Wajasiriamali Tumbe, wakati akitembelea Ujenzi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe Masoud Ali Moh
ammed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Kituo cha Wajasiriamali Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo hicho akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo.
Muonekano wa milango ya maduka katika Kituo cha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Tumbe kilichowekwa Jiwe la Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kikiwa na Milango ya Maduka 54
Post Views:
168
Previous Post
Hali za wanafunzi waliopata ajali Mtwara zaendelea kuimarika
Next Post
Watalii 35 kutoka Israel watua Rombo
Serikali yatangaza neema sekta ya madini
Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote
Gachagua: Ruto sasa tunakujua wewe ni mtu wa aina gani
Rai Dkt. Samia atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Uandikishaji ada za bima wafikia asilimia 7.4 sawa na tilion 1.24 mwaka 2023
Habari mpya
Serikali yatangaza neema sekta ya madini
Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote
Gachagua: Ruto sasa tunakujua wewe ni mtu wa aina gani
Rai Dkt. Samia atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Uandikishaji ada za bima wafikia asilimia 7.4 sawa na tilion 1.24 mwaka 2023
Wasanii 200 Songea wapata mafunzo uzalishaji filamu bora
Shambulizi la Israel Beirut laua watu 11
Putin: Urusi itatumia akombora jipya katika vita
Mkurugenzi Manispaa Songea avishukuru vyombo vya habari
Pinda ataka usawa katika malezi kupinga ukatili wa kijinsia
Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha kushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa
Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania
TPA kuwapunguzia gharama za uhifadhi mizigo wahanga janga la ghorofa Kariakoo
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa sekta ya nishati
Michezo ya kamali marufuku Nigeria