Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa , Dkt. Grace Magembe ametembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula kuwajulia hali wanafunzi wa Shule ya Msingi King David ambao wamepata ajali.