Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 25, 2022
Habari Mpya
Rais Mwinyi awasili Pemba
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi awasili Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba na kusalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi leo Julai 25, akiendelea na ziara yake Pemba kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendele
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kuendelea na ziara yake leo Julai 25, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mikoa miwili ya Pemba.(Picha na Ikulu)
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Pemba wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipowasili Uwanja Ndege Chakechake Pemba,kuendelea na ziara yake Pemba leo Julai 25, katika Mikoa Miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba
Post Views:
157
Previous Post
Kinana, Shaka watua Katavi
Next Post
Majaliwa aitisha kikao kutekeleza agizo la rais
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani