Na Mwandishi Maalumu
Kutokana na maombi ya wasomaji wa makala za Bandari ku
JAMHURI, ambao wameomba turudie kuchapisha baadhi ya
kuwathamini wasomaji na wadau wetu tumekubali kurudia makala h
Moja ya makala ambazo wasomaji wetu waliomba turudie ni ya
ambazo mwagizaji wa mzigo kupitia bandari zetu anapaswa
kuagiza na kuupata mzigo wake kwa njia rahisi. Hatua hizo ni k
haujafika bandarini, kuwasili kwa mzigo mpaka kutoka kwa mzigo b
Wakala wa meli kutangaza kuwasili kwa meli bandarini
Hatua ya kwanza inayofanyika katika mchakato wa usafirishaji w
Wakala wa Meli (Shipping agent) kutangaza au kutoa taarifa katika
(Harbor view system) kuhusu matarajio ya kuwasili kwa meli ban
muhimu, kwani inaiwezesha Mamlaka ya Usimamizi wa Banda
kuanza kufanya mchakato wa kuipokea meli husika ili iwez
zinazohitajika bandarini.
Taarifa za awali za kuwasili kwa meli bandarini ambazo hutolewa
TPA hufuatiwa na vikao vya mipango vya wadau wa bandari amb
siku mchana. Vikao hivyo hupanga jinsi ya kuzihudumia meli
bandarini. Wakala wa meli anatakiwa saa 48 kabla meli haijawasili bandarini a
mzigo (cargo manifest) kwenye mfumo wa Mamlaka ya Mapa
uitwao TANCIS. Taarifa hizo zikishapokelewa, TRA huzihakiki na
usahihi wake.
Taarifa hizo za mzigo baada ya kuhakikiwa na kuthibitishwa katika
TANCIS ndipo TPA huzipakua (download) taarifa hizo ili kuziingiz
bandari (cargo system) kwa ajili ya kuzichambua huku bandari ik
meli ili kuleta mzigo husika bandarini.
Kuwasili kwa meli bandarini
Baada ya TPA kuziweka taarifa za mzigo kwenye mfumo wake wa
na wakala wa meli kukamilisha malipo ya meli katika mamlaka hu
na TPA, kinachofuata ni kuwasili kwa meli bandarini. Hatua inayof
kuwasili bandarini ni TPA kushusha mzigo kutoka melini kulingana
(cargo manifest) kama zilivyowasilishwa kutoka TRA kwa kupitia
na taarifa hizo kuchambuliwa na TPA kwa kutumia mfumo wa band
Bill of Lading
Ni vema ikafahamika kwa mwagizaji mzigo mtarajiwa kwam
haujawasili mteja anatakiwa awe ameshaletewa nyaraka halisi (or
kutoka kwa aliyeuza mzigo (shipper au consignor au exporter).
Bill of lading ni nyaraka muhimu sana ambayo inaonyesha anuan
jina la nchi ulikonunuliwa mzigo, jina la meli, jina la mwenye mzig
kama mzigo huo ni gari, nyaraka hiyo pamoja na taarifa hizo
ionyeshe namba ya chassis ya gari, uzito wake, gari jipya au lililo
kontena nyaraka hizo zitaonyesha anuani ya mtumaji, jina la
lilikopakiwa, jina la meli itakayochukua, aina ya mzigo, anuani ya
namba za kontena na jina la bandari ambako kontena litateremshw
Mteja kutafuta Wakala wa Forodha
Mara tu mwagizaji anapopokea bill of lading ya mzigo wake atatakiw
wa forodha ili ampatie nyaraka hizo kwa lengo la kumsaidia mw
bandarini. Wakala wa forodha kisheria ndiye aliyeidhinishwa na T
wateja bandarini. Wakala wa forodha baada ya kukabidhiwa nyaraka halisi ya mzi
awasilishe nyaraka hizo kwa Mamlaka husika kulingana na aina y
husika itapokea nyaraka kwa ajili ya uhakiki na itachukua sampuli y
uhakiki. Mamlaka hizo ni kama vile Mamlaka ya Chakula na Dawa
Wakala wa Vipimo Tanzania (TBS), Wizara ya Kilimo, Mkemia Mku
Baada ya hatua ya uhakiki kukamilika, Mamlaka husika itatoa c
uhalali wa mzigo. Cheti hicho pamoja na nyaraka za mzigo
kuwasilishwa TRA kwa ajili ya mchakato wa kulipia ushuru. Kabla
ushuru haujafanyika, TRA watafanya ukaguzi wa mzigo kwa macho
Release Order na Delivery Order
Taratibu za ukaguzi zikishakamilika wakala wa forodha atatakiwa
mzigo wa mteja wake. Ushuru ukishalipwa, TRA watampatia w
nyaraka ya kutolea au kuondoshea mzigo bandarini (release order)
Aidha, wakala wa forodha atatakiwa kwenda kwa wakala
agent) ambaye kampuni yake ya meli ndiyo iliyoleta mzigo bandarin
nyaraka ya kupata mzigo (delivery order). Malipo hayo baada ya ku
forodha atakabidhiwa nyaraka au kibali cha kupata mzigo wa mteja
Mpaka kufikia hapo, wakala wa forodha atakuwa ameshapata nya
kutolea mzigo. Wakala wa forodha atatakiwa aziwasilishe nyaraka
ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa njia ya mfum
kielektoniki ili kupata tozo za bandari. Wakati wakala wa forodha atakapokuwa anafanya hivyo, nay
atakuwa awe tayari ameshatuma nyaraka au kibali cha kutolea mz
kwenye mtandao wa TPA kwa lengo la kumtambulisha na kumth
forodha kwamba ndiye atakayehusika kutoa mzigo wa mteja ul
kampuni yake.
Kulipa tozo za bandari
Baada ya nyaraka hizo kuwasilishwa kwa njia ya kielektroniki, TPA
ya gharama za huduma ambazo imezitoa kwa mzigo ili kupata to
mzigo wa mteja, na ikishakamilisha itampelekea wakala wa fo
kielektroniki kwa kumpatia namba ya kumbukumbu kwa ajili y
reference number).
Mara baada ya kupata namba ya kumbukumbu ya kulipia, w
atatakiwa kulipia tozo za bandari kupitia benki mojawapo kati ya T
Standard Chartered au kwa njia ya simu. Wakala wa forodha baada ya kulipia tozo za bandari malip
yameonekana moja kwa moja kwenye mtandao wa TPA.
Wakala wa Forodha kuchukua mzigo wa mteja bandarini
Baada ya kukamilisha malipo ya tozo za bandari, hatua inayofu
kuchukua mzigo wa mteja wake. Hatua ya kuchukua mzigo ni muh
Endapo mzigo unaotakiwa kutolewa bandarini ni wa kuchukuliwa
forodha atatakiwa kuingia kwenye mfumo wa TPA ili kujaza taarif
litakalochukua mzigo, jina la dereva na namba ya leseni ya de
unaochukuliwa ni gari linalotembea lenyewe, wakala wa forodha
kwenye mfumo wa TPA jina la dereva na namba ya leseni ya derev
Baada ya kuwasilishwa kwa taarifa hizo kwenye mfumo wa TPA,
atapata kibali kwa ajili ya lori husika au dereva husika kuingia b
mzigo. Lori likishapakiwa na taratibu za ukaguzi wa mwisho kufa
mzigo wa mteja litaruhusiwa kutoka bandarini, au dereva ak
ataruhusiwa kutoka bandarini na gari la mteja.
Iwapo una tatizo au swali kuhusiana na huduma za bandari, usis
kwa kupiga simu au kutuma meseji za bure kupitia namb
0800110047.
Mwisho