Year: 2024
DC Malinyi ahimiza wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Malinyi MKUU wa Wilaya ya Malinyi, Sebastian Waryuba amehamasisha wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kukimbia mbio za kilomita tano. Waryuba aliongoza wananchi na watumishi katika wilaya hiyo kwenye mbio hizo alizozipa jina…
BRELA kuendesha kampeni ya utoaji elimu kuhusu urasimishwaji kwa wafanyabiashara
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Usajili wa Makampuni nchini (BRELA) imelenga kuendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya urasimishwaji. Akizungumza katika maonyesho ya kimataifa ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba vilivyoko temeke, Dar es Salaam….
Makusanyo ya TRA yapaa
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kuvuka lengo na kukusanyash.trioni 7.79 , kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha Julai hadi Septemba 2024. Makusanyo hayo yalionyesha mwezi Julai hadi Septemba 2024…
Iran yaishambulia Israel kwa makombora 180
Iran imeishambulia Israel kwa makombora kadhaa na kuongeza joto katika mzozo wa miezi kadhaa baina ya Israel na makundi yanayoungwa mkono na Iran ya Hamas na Hezbollah. Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari amesema shambulizi la makombora kiasi 180…
Mbunge Viti Maalum Mariam Nyoka aunga mkono jitihada za Serikali atoa msaada wa mil.2/- zahanati ya Muhepai
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mariam Madalu Nyoka, ametoa kiasi cha sh.milioni 2 pamoja na mashuka ya wagonjwa 15 katika zahanati ya kijiji cha Muhepai ililiyopo kata ya kilagano halmashauri ya Songea vijijini…
Mathias Canal achangia mil.5/- kupunguza changamoto zinazoikabili Shule ya Msingi Tutu Iramba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iramba Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika…