JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wataalamu wa maabara toeni majibu sahihi kuwasaidia Watanzania – Dk Biteko

📌 Serikali yafanya mageuzi makubwa sekta ya afya nchini 📌 Wataalam wa maabara za binadamu wasisitizwa kulinda taaluma yao 📌Tanzania ya tatu Barani Afrika kwa huduma Blbora za mabara Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…

Tumieni mifumo rasmi kuhifadhi fedha – Pinda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbuge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi kuhifadhi fedha zao katika mifumo rasmi ya kifedha kwa ajili ya usalama. Pinda amesema hayo…

Ajenda ya utunzaji mazingira iwe ya kudumu – Waziri Chana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Sumbawanga Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezitaka Serikali za Vijiji kuweka ajenda ya uhifadhi wa mazingira na kudhibiti moto iwe za kudumu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Ameyasema…

Ifikapo 2030 korosho zote zitabanguliwa nchini – Bashe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema ujenzi wa Kongani ya Viwanda Maranje Newala mkoani Mtwara unalenga kuhakikisha ifikapo 2030, korosho zote zinabanguliwa nchini. Amesema, lengo ni kuhakikisha wakulima hawauzi korosho ghafi nje ya nchi. Bashe…

NSSF yapiga hatua kubwa kiutendaji, yawataka Watanzania kujiunga na mfuko isiyo rasmi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umesema unatarajia kuandikisha wanachama milioni 21 kutoka sekta isiyo rasmi, huku umri wa kuchangia ukiwa ni kuanzia miaka 15 hadi 70 na kiwango kikianzia Sh….

Sekta ya viwanda na uwekezaji yapaa Pwani

*Mkoa waweka alama kujibu kwa vitendo katika sekta ya viwanda *Kati ya viwanda 1,535, viwanda 131 vimejengwa kipindi cha Rais Dk Samia Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Pwani AJENDA ya kuleta Mapinduzi kwenye sekta ya Viwanda nchini, inazidi kushika kasi ambapo…