Year: 2024
Majaliwa aagiza mwenye jengo atafutwe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta mhusika wa jengo lililoanguka Novemba 15, na kusababisha vifo vya watu 16, na wengine kuokolewa kwenye vifusi. Akizungumza leo Novemba 18, katika tukio la kuiaga miili ya watu 16, viwanja wa…
Bandari Mtwara yaendelea kuhudumia mizigo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema Bandari ya Mtwara iko imara na inaendelea kuhudumia mizigo ikiwemo shehena ya korosho kwenda nje ya nchi. Meneja wa bandari hiyo, Ferdinard Nyathi amesema mpaka sasa meli tano…
Dk Biteko : Tujenge mazoea kutekeleza yale tuliyokubaliana
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Phillip Mpango kufungua mashindano ya Shirikisho la…
Waziri Silaa aweka bayana mikakati ya kuwezesha idara yake ya Habari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo Novemba 18, 2024 jijini Dar es…
Majaliwa aongoza waombolezaji kuaga miili ya marehemu ajali ya ghorofa Kariakoo
●Ata zoezi lanuokoaji liwe endelevu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 18, 2024 amekagua muendelezo wa zoezi la uokoaji katika jengo lililodondoka eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam na amesisitiza kuwa zoezi hilo ni endelevu hadi atakapotolewa mtu wa…