JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Pwani yapata wauguzi 120 kukabiliana changamoto ya upungufu wa wauguzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani MKOA wa Pwani umepatiwa Wauguzi 120 ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa kada hiyo. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Katibu Tawala Mipango na Uratibu wa Mkoa wa Pwani Edina Kataraiya ambaye alimwakilisha Naibu Waziri wa…

Dk Shukia : Dira ya Taifa ya maendeleo ni mali ya wananchi

Na Mwandishi Wetu,, JammhuriMesia, Arusha. Serikali imeweka mazingira rafiki na thabiti kwa makundi yote katika jamii kufikiwa katika ukusanyaji maoni ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha, Mwanazuoni na Mhadhiri kutoka…

Tanzania mwenyeji kongamano Umoja wa Mataifa la utalii wa vyakula vya asili Afrika

Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo…

Bonanza la Wizara ya Nishati lapamba moto Dodoma

Leo tarehe 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbali katika Bonanza la Nishati Jijini Dodoma likibebwa na Kaulimbiu Shiriki Michezo Imarisha Afya. Mgeni rasmi katika Bonanza hilo ni Naibu Waziri…

UN yaonya kuwa binadamu wanaathrika na janga la joto kali

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ameonya, binadamu wanakumbwa na janga la joto kali na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za kupunguza athari za mawimbi ya joto yanayozidishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Guterres amesema kuwa mabilioni…